Propellerads

Magazeti ya Uingereza leo yameamka na hizi kali




Leo nakuletea angalau kwa uchache tu habari za kandanda zilizobamba asubuhi hii kwenye vichwa vya habari magazeti ya Uingereza.

DAILY EXPRESS: Nyota wa Liverpool ameifungia klabu katika 'ushindi wenye utata' dhihi ya Bournemouth.
 PIA: Everton wawafanya Chelsea kufanya usajili kwa dau litakalovunja rekodi kwa beki  John Stones.

DAILY STAR: Louis van Gaal amedai anacheza mechi ambayo ni miongoni mwa mechi kubwa katika kipindi chake Man United, dhidi ya FC Brugge.

DAILY MIRROR: Manchester City sasa wanakamilisha dili la Nicolas Otamendi.


Pia: De Bruyne anaangalia mipango ya kuendelea kuwepo Wolfsburg.

DAILY MAIL: John Terry 'hakua orijino' katika mipango ya Jose Mourinho kumuanzisha acheze dhidi ya Manchester City.
Magazeti ya Uingereza leo yameamka na hizi kali Magazeti ya Uingereza leo yameamka na hizi kali Reviewed by Steve on Tuesday, August 18, 2015 Rating: 5

No comments:

Propellerads
Powered by Blogger.