Propellerads

Harry Redknapp "Arsenal watachukua taji wakipata mshambuliaji"




Aliyekua kocha wa Tottenham, Harry Redknap ametabiri kua Arsenal watachukua
taji la EPL endapo tu watasajili mshambuliaji majira haya ya kiangazi.

Maneno ya Wenger kufuatia mechi ya jana na West Ham

Kwa sasa Arsenal wamekua wakihusishwa sana na kutaka kumnasa nyota wa Real Madrid, Karim Benzema, na Redknapp amesisitiza Olivier Giroud anahitaji mtu wa kumsaidia msimu huu.

Aliandika katika gazeti la Telegraph " Katika msimu huu wa joto wote nilikua nafikiria huu ni wakati wa Arsenal kuchukua Premier League kwa mara nyingine.

"Mchezo mmoja tu hauwezi kubadilisha zoezi, lakini bado kuna kitu kimoja; Ninamsihi Arene Wengerm asajili mshambuliaji kabla dirisha la usajili halijafungwa"

"Arsenal wamekaribia kukamilika na kikosi cha sasa, bado nadhani kua Petr Cech atahakikisha ulinzi imara, lakini haiwezekani kumtegemea Giroud mshambuliaji peke yake- haiwezekani!

Liverpool yatamba, shukrani kubwa kwa Coutinho

Arsenal walianza na mechi dhidi ya Wes Ham ambapo walipoteZa kwa 2-0
Harry Redknapp "Arsenal watachukua taji wakipata mshambuliaji" Harry Redknapp "Arsenal watachukua taji wakipata mshambuliaji" Reviewed by Steve on Monday, August 10, 2015 Rating: 5

No comments:

Propellerads
Powered by Blogger.