Propellerads

Arsenal kumsainisha Benzema kwa dau hili




Taarifa zilizoripotiwa jana na presenter kutoka Venezuela, Jeinny Lizarazo
zinadai kua nyota huyo mfaransa jana alitua London kwa vipimo vya afya.

Benzema mwenye miaka 27 sasa atawagharimu The Gunners kiasi cha pauni 42.5m kama kwa Ozil, pia itabidi klabu ikubali kumlipa mshahara mkubwa utakaofikia.
Usajili wa Benzema unaweza kutangazwa mapema siku yoyote wiki hii.
Arsenal kumsainisha Benzema kwa dau hili Arsenal kumsainisha Benzema kwa dau hili Reviewed by Steve on Monday, August 10, 2015 Rating: 5

No comments:

Propellerads
Powered by Blogger.