Usajili wa Pedro Man United, Neymar ndio kikwazo??!!
Inadaiwa kua Barcelona hawako tayari kumruhusu Pedr aondoke mpaka pale afya
ya Neymar itakapotengemaa.
Mshambuliaji huyo wa Brazili anatarajiwa kuwa sawa ndani ya kipindi cha wiki mbili zijazo baada ya kua mgonjwa.
Inadaiwa tena van Gaal alitarajia mpaka kufikia wiki ijayo watakapo wafata Aston Villa, angekua ameshampata Pedro.
Hata hivyo, kwa mujibu wa Sport Barcelona wanataka Pedro acheze katika fainali ya Supercup dhidi ya Sevilla na hatoondoka mpaka Neymar atakaporejea.
Imeripotiwa Man United itawagharimu kiasi cha pauni 23m kumnasa mkali huyo.
Usajili wa Pedro Man United, Neymar ndio kikwazo??!!
Reviewed by Steve
on
Monday, August 10, 2015
Rating:
Reviewed by Steve
on
Monday, August 10, 2015
Rating:




No comments:
Post a Comment