Propellerads

Unaijua Top 20 ya wachezaji vijana Ulaya??!!....hii hapa




Kwa mujibu wa Soccerex study, ambao wamefanya utafiti kwa wachezaji vijana chini ya miaka 21 uliozingatia
position, dakika ambazo mchezaji kacheza, na ufundi.

Nyota wa Liverpool, Raheem Sterling ameongoza akiwa na thamani ya pauni mil. 35 mil. mbele ya mlinzi wa PSG Marquinhos mwenye thamani ya pauni mil. 28.3 mil

Nyota mpya aliyesajiliwa na Man Utd msimu huu, Memphis Depay, anafatia katika nafasi ya tatu akiwa na thamani ya pauni 23.9 mil

Na hii ni orodha ya wachezaji 20 bora vijana kama ilivyoorodheshwa na Soccerex

1. Raheem Sterling (Liverpool) £35m
2. Marquinhos (PSG) £28.3m
3. Memphis Depay (Man Utd) £23.9m
4. Domenico Berardi (Sassuolo, co-owned by Juventus) £21.7m
5. Jose Gimenez (Atletico Madrid) £21.5m
6. Hakan Calhanoglu (Bayer Leverkusen) £19.5m
7. Mateo Kovacic (Inter Milan) £18.6m
8. Jose Luis Gaya (Valencia) £18.4m
9. Luke Shaw (Man Utd) £18m
10. Aymeric Laporte (Athletic Bilbao) £17m
11. Kurt Zouma (Chelsea) £16.2m
12. Youri Tielemans (Anderlecht) £13.8m
13. Alexsandar Mitrovic (Anderlecht) £12.9m
14. Anderson Talisca (Benfica) £12.9m
15. Emre Can (Liverpool) £12.1m
16. John Stones (Everton) £12m
17. Anthony Martial (Monaco) £11.3m
18. Divock Origi (Liverpool) £10.9m
19. Calum Chambers (Arsenal) £10.7m
20. Hector Bellerin (Arsenal) £10.5m
Unaijua Top 20 ya wachezaji vijana Ulaya??!!....hii hapa Unaijua Top 20 ya wachezaji vijana Ulaya??!!....hii hapa Reviewed by Steve on Tuesday, July 07, 2015 Rating: 5
Propellerads
Powered by Blogger.