Mchezaji mpya wa Manchester United, Memphis Depay jana amefanya mazoezi kwa mara ya kwanza na wachezaji wenzake. Tazama picha kadhaa akiwa mazoezini;