Baadhi ya taarifa za usajili zilizotawala magazeti ya Ulaya leo Alhamisi.
Robin van Persie amekubaliana mkataba wa miaka minne na klabu ya Fenerbahce na klabu wanatarajiwa kutangaza rasmi weekend hii (TalkSPORTS.com)
Raheem Sterling amesisitiza kua kuvunjika kwa mahusiano na kocha Brendan Rodgers ndio sababu kubwa anataka kuondoka Liverpool (Daily Mirror)
Micah Richards ameamua kubadili uamuzi wake wa kwenda Inter Millan na anataka kujiunga Aston Villa majira haya ya kiangazi. (Vyanzo mbali mbali)
Roberto Soldado ameuambia uongozi wa Tottenham Hotspur kwamba anataka kuondoka klabuni majira haya akatafute timu nyingine ambayo anaweza kupata namba ya uhakika. (The Guardian)
Man City na Arsenal uso kwa uso mbele ya mshambuliaji wa Napoli, Gonzalo Higuain (Talksports)
Baadhi ya taarifa za usajili zilizotawala magazeti ya Ulaya leo Alhamisi.
Reviewed by Steve
on
Thursday, July 09, 2015
Rating:
Reviewed by Steve
on
Thursday, July 09, 2015
Rating:



