Yaya Toure kuwapeleka Guardiola na Manchester City mahakamani!?
Yaya Toure na wakala wake, Dimitri Seluk wameripotiwa
kutaka kuwapeleka Pep Guardiola na Manchester City kwa kukiuka mkataba.
Nyota huyo alicheza mechi moja pekee chini ya Guardiola kabla ya kocha hajatangaza kua mchezaji huyo bora wa Afrika mara nne hatochezea tena kikosi chake mpaka wakala wake atakapoomba radhi kwa kauli zake.
Hivi karibuni wakala Seluk amedai kwamba anachokifanya Guardiola sio halali na ametishia kulifikisha swala hilo mahakamani.
"Anafikiri anaweza kufanya hivyo kwa sababu Yaya yupo mwaka wa mwisho katika mkataba wake na sheria za FIFA zinasema tunaweza kukata rufaa juu ya suala hili mwishoni mwa msimu," alisema wakala huo kama alivyonukuliwa na Daily Mirror.
"Lakini ukweli ni kwamba Yaya kuadhibiwa kwa vitu ambavyo hajasema. Naamini hii inavunja sheria za kazi, kwa hiyo tutaona
Yaya Toure kuwapeleka Guardiola na Manchester City mahakamani!?
Reviewed by Steve
on
Thursday, October 06, 2016
Rating:
Reviewed by Steve
on
Thursday, October 06, 2016
Rating:

No comments:
Post a Comment