Wadau wote wapenda soka karibuni tuyajenge kijiwe cha soka
Kumekuwa na mitandao mingi kibongo bongo watu wanakutana na kujadili
siasa, mapenzi, elimu n.k lakini sehemu moja ambayo inawakutanisha wadau wa soka bado hakuna ya maana, kwa kulitambua hilo Kandanda 24 tumeanzisha kijiwe cha soka kwa wadau wote na wapenda soka, ni bure na rahisi kabisa kujiunga ambapo tutaweza kuchangia mada na mambo mbali mbali kama picha, video n.k.
Ili kujiunga na katika kijiwe cha soka bonga tafadhali bofya HAPA.
Wadau wote wapenda soka karibuni tuyajenge kijiwe cha soka
Reviewed by Steve
on
Wednesday, September 21, 2016
Rating:
Reviewed by Steve
on
Wednesday, September 21, 2016
Rating:

No comments:
Post a Comment