Umeipata hii ya kadi ya kijani huko Italia!!...cheki hapa
Kadi nyekundu na njano kazi yake kutoa adhabu na onyo baada ya
mchezaji kutenda madhambi ndani ya mchezo. Sasa nchini Italy refa atakua anabeba kadi tatu hivi sasa ambazo ni nyekundu, njano na nyekundu.
Tofauti na kadi nyekundu na njano, kadi ya kijani kazi yake itakua ni kwa ajili kitu positive. Kazi yake kubwa ni kwa ajili ya kumpa kama kum-reward mchezaji pale anapofanya kitendo cha fair play.
Kadi hiyo itaanza kwanza kutumika kwenye Serie B kabla ya kuja Serie A. Mpango huu wa kuanzisha kadi ya kijani ni njia moja wapo ya kutekeleza agizo la UEFa kwamba nchi mbalimbali zi-promote fair play.
Ungana nasi kupitia Facebook kwa ku like ukurasa wetu wa Kandanda 24 na Twitter @Kandanda 24
Umeipata hii ya kadi ya kijani huko Italia!!...cheki hapa
Reviewed by Steve
on
Friday, September 04, 2015
Rating:
Reviewed by Steve
on
Friday, September 04, 2015
Rating:

No comments:
Post a Comment