Schwensteiger akimpongeza 'dogo' Martial kufuatia mchezo wa jana
Kiungo wa Manchester United, Bastian Schwensteiger ametoa
pongezi zake kwa mchezaji mwenzie Antony Martial baada ya kuanza kwa goli kwenye mchezo dhidi ya Liverpool jana.
Martial aliyetua Man United kwa dau la pauni mil 36 alicheza mechi ya kwanza Premier League jana na kutupia goli moja safi ikishuhudiwa Red devils wakiibuka na ushindi wa 3-1 nyumbani Old trafford.
Kupitia ukurasa wake wa Twitter, Schwensteiger amempa pongezi Martial kwa kazi aliyoionesha huku pia akisifia kiwango cha timu nzima
What a game! Very proud of our team performance. Special congrats to @AnthonyMartial - is there a better way debuting for @ManUtd? #mufc
Daley Blind na Ander Herrera pia walizifumania net ikishuhudiwa man United wakiruka hadi nafasi ya pili kwenye msimamo wa ligi.
Ungana nasi kupitia Facebook kwa ku like ukurasa wetu wa Kandanda 24 na tuffollow Twitter @Kandanda 24
Schwensteiger akimpongeza 'dogo' Martial kufuatia mchezo wa jana
Reviewed by Steve
on
Sunday, September 13, 2015
Rating:
Reviewed by Steve
on
Sunday, September 13, 2015
Rating:

Basti Schweinsteiger








No comments:
Post a Comment