Propellerads

Kumbe wachezaji wengi wa Man Unted hutishika na ile sura ya ukali ya Van Gaal!!



MARCOS ROJO amedai kua wachezaji wengi wa Man United
wanatishika sana na sura ya ukali ya kocha wao Louis van Gaal.

Bosi huyo wa Red Devils amejikuta akipata lawama kutoka kwa wachezaji kuanzia wiki iliyopita, huku wengi wakionekana kutofurahishwa na mbinu zake za mazoezi ngumu na zisizobadilika.

Sasa Rojo ameiambia The Sun "Van Gaal ana mwonekano wa 'kikauzu' na inatisha zaidi akikasirika.

"Ana 'bulldog face' !, ni mtu mzuri na mtaelewana nae vizuri kama utatii kila atakachokisema"

'Bulldog face' ni msemo wa kihispania unaotumia sana Amerika ya kusini ukimaanisha mtu asiyetabasamu na daima hukasirika tu.

Rojo alipata kuionja chungu ya Van Gaal  baada ya kushindwa kwenda ziara ya klabu Marekani kutokana na tatizo la passport.

Ungana nasi kupitia Facebook kwa ku like ukurasa wetu wa Kandanda 24 na tuffollow Twitter @Kandanda 24


Kumbe wachezaji wengi wa Man Unted hutishika na ile sura ya ukali ya Van Gaal!! Kumbe wachezaji wengi wa Man Unted hutishika na ile sura ya ukali ya Van Gaal!! Reviewed by Steve on Friday, September 11, 2015 Rating: 5

No comments:

Propellerads
Powered by Blogger.