Propellerads

Habari mbaya kwa Chelsea, majeraha kumweka nje kipa Courtois kwa miezi miwili



Mlinda mlango wa Chelsea, Thibaut Courtois anatarajiwa kukaa
nje muda mrefu kidogo kutokana na kupata majeraha.

Gazeti la Daily Mail limedai kua Courtois atakaa nje kwa kipindi cha miezi kama miwili hivi kutokana na kuumia goti.

Kipa huyo alirejea kutoka timu yake ya taifa ya Ubelgiji akiwa safi lakini inaonekana ameumia mazoezini.

Kipa aliyesajiliwa msimu huu kutokea Stoke,  Asmir Begovic anatarajiwa kushika nafasi golini.

Ungana nasi kupitia Facebook kwa ku like ukurasa wetu wa Kandanda 24 na tuffollow Twitter @Kandanda 24
Habari mbaya kwa Chelsea, majeraha kumweka nje kipa Courtois kwa miezi miwili Habari mbaya kwa Chelsea, majeraha kumweka nje kipa Courtois kwa miezi miwili Reviewed by Steve on Friday, September 11, 2015 Rating: 5

No comments:

Propellerads
Powered by Blogger.