Propellerads

Kina Pluijm na Mkwasa walivyovamia game ya Azam jana



Wakati timu ya Azam FC ikimenyana na Tanzania Prisons kwenye
dimba la Azam Complex, kocha mkuu wa Yanga SC Hans van der Pluijm pamoja na kocha msaidizi wa Yanga huku akiwa ni kocha mkuu wa Stars Boniface Mkwasa walikuwa ni miongoni mwa watu maarufu waliohudhuria uwanjani kufatilia mchezo huo.

Baada ya mchezo kumalizika, Van Pluijm alionekana akiteta jambo na kocha wa mkuu wa Azam FC Stewart Hall na baadae kuondoka kwenye uwanja huo.

Ungana nasi kupitia Facebook kwa ku like ukurasa wetu wa Kandanda 24 na tuffollow Twitter @Kandanda 24

Kina Pluijm na Mkwasa walivyovamia game ya Azam jana Kina Pluijm na Mkwasa walivyovamia game ya Azam jana Reviewed by Steve on Sunday, September 13, 2015 Rating: 5

No comments:

Propellerads
Powered by Blogger.