Kama ulipitwa, matokeo ya mechi zote za ufunguzi ligi ya Vodacom jana
Pazia la ligi kuu Tanzania bara limefunguliwa rasmi jana
ambapo michezo saba imechezwa kwenye viwanja tofauti wakati jumla ya timu 14 zilikuwa viwanjani zikiwania pointi tatu muhimu, matokeo ya mechi zote zilizochezwa siku ya Jumamosi ni kama ifuatavyo;
Azam FC 2-1 Tanzania Prisons (Azam Complex, Chamazi)
African Sports 0-1 Simba (Mkwakwani, Tanga)
Ndanda FC 1-1 Mgambo JKT (Nangwanda Sijaona, Mtwara)
Toto Africans 1-0 Mwadui FC (CCM Kirumba, Mwanza)
Stand United 0-1 Mtibwa Sugar (Kambarage, Shinyanga)
Majimaji FC 1-0 JKT Ruvu (Majimaji, Songea)
Mbeya City FC 0-1 Kagera Sugar
Ungana nasi kupitia Facebook kwa ku like ukurasa wetu wa Kandanda 24 na tuffollow Twitter @Kandanda 24
Kama
Kama ulipitwa, matokeo ya mechi zote za ufunguzi ligi ya Vodacom jana
Reviewed by Steve
on
Sunday, September 13, 2015
Rating:
Reviewed by Steve
on
Sunday, September 13, 2015
Rating:

No comments:
Post a Comment