Propellerads

Hivi ndivyo Chelsea ilivyokufa leo mbele ya Everton, cheki picha!!



Steven Naismith amefunga hat-trick yake ya kwanza iliyoipa Everton
ushindi wa 3-1 dhidi ya Chelsea jioni hii. Mchezaji huyo Mskochi aliingia akitokea benchi baada ya Muhamed Besic kuumia , amefunga mawili katika muda unaopishana kama dakika tano tu kwa kila goli kabla ya half time.
Nemanja Matic aliifungia bao la ahueni Chelsea muda mfupi kabla ya kipindi cha kwanza kuisha, lakini Naismith aliongeza bao la tatu na la mwisho dakika ya 82 ambalo lilipelekea mchezo kuisha kwa matokeo ya 3-1.
















Ungana nasi kupitia Facebook kwa ku like ukurasa wetu wa Kandanda 24 na tuffollow Twitter @Kandanda 24

Hivi ndivyo Chelsea ilivyokufa leo mbele ya Everton, cheki picha!! Hivi ndivyo Chelsea ilivyokufa leo mbele ya Everton, cheki picha!! Reviewed by Steve on Saturday, September 12, 2015 Rating: 5

No comments:

Propellerads
Powered by Blogger.