Tarehe ya kufunga dirisha la usajili yatangazwa na TFF
Dirisha la Usajili kwa Vilabu vya Ligi Kuu (VPL), Ligi Daraja la Kwanza (FDL) na Ligi
Daraja la Pili (RCL) linatarajiwa kufungwa tarehe 06 Agosti, 2015.
Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini (TFF) linavikumbusha vilabu vyote kufanya usajili wa wachezaji wao mapema kabla ya kufungwa kwa dirisha hilo, ili kuondokana na usumbufu wa kufanya usajili dakika za mwisho.
Pindi dirisha hilo litakapofungwa Agosti 06, hakuna klabu au timu yoyote itakayoweza kufanya tena usajili wake, hivyo ni vyema vilabu vitahakikisha vinamaliza mausala ya usajili mapema kabla ya siku ya mwisho.
Tarehe ya kufunga dirisha la usajili yatangazwa na TFF
Reviewed by Steve
on
Sunday, August 02, 2015
Rating:
Reviewed by Steve
on
Sunday, August 02, 2015
Rating:

No comments:
Post a Comment