Propellerads

Chelsea wafanya makubaliano na Baba Rahman




Imeripotiwa kua tayari Chelsea wameshafanya makubaliano ya kumsainisha beki wa
Augsburg, Baba Rahman.

Nyota huyo mwenye umri wa miaka 21, amekua akihusishwa sana na klabu ya Chelsea majira haya ya kiangazi, na huenda hili likawa kweli kutokana na taarifa hizi.

Kwa mujibu wa Sport bid tayari dau la €25million (£17.5m) limeshafikiwa kwa ajili ya mghana huyo na yuko katika hatua za mwisho tu kuja Chelsea.

Rahman ameichezea Augsburg mechi 31 msimu uliopita.

Chelsea wafanya makubaliano na Baba Rahman Chelsea wafanya makubaliano na Baba Rahman Reviewed by Steve on Saturday, August 01, 2015 Rating: 5

No comments:

Propellerads
Powered by Blogger.