Propellerads

Unaijua Top 10 ya magolikipa 'Most expensive' katika historia...cheki hii




Petr Cech amejiunga na Arsenal jumatatu hii, na inasemekana dau la uhamisho lilikua ni pauni mil. 14 ambayo
ilitosha kabisa kumuingiza katika orodha ya walinda mlango ghali zaidi katika historia.

Kwa hali ya kawaida, makipa katika kikosi hua sio ghali sana ukilinganisha na wachezaji wengine , lakini mwaka 2001, Juventus walitoa ada ya uhamisho kiasi cha pauni mil. 52.88 ambayo ilivunja rekodi kwa kumnasa Gianluigi Buffon.

Kipa wa Bayern Munich na timu ya taifa ya Ujerumani, Manuel Neuer anafatia katika nafasi ya pili, huku dili la uhamisho wa De Gea kwenda Real Madrid likimweka katika nafasi ya tano miongoni mwa makipa ghali zaidi katika historia.

Cech nae yupo katika nafasi ya tisa, huku ada yake ya uhamisho yenye thamani ya pauni mil. 14 ikiwa ni ya kubembeleza mno kutoka kwa Arsenal.


Hapa chini ni orodha ya makipa ghali zaidi katika historia ,kama ilivvyoorodheshwa na transfer market.

1) Gianluigi Buffon (Parma to Juventus) – €52.88m (2001/02)
2) Manuel Neuer (Schalke to Bayern) – €30m (2011/12)
3) Francesco Toldo (Fiorentina to Inter) – €26.5m (2001/02)
4) Sebastien Frey (Inter to Parma) – €21m (2003/04)
5) David De Gea (Atletico Madrid to Manchester United) – €20m (2011/12)
6) Angelo Peruzzi (Juventus to Inter) – €19m (1999/00)
7) Angelo Peruzzi (Inter to Lazio) – €17.9m (2000/01)
8) Jan Oblak (Benfica to Atletico Madrid) – €16m (2014/15)
9) Petr Cech (Chelsea to Arsenal) – €14m (2015/16)
10) Sebastien Frey (Cannes to Inter) – €14m (1998/99)
Unaijua Top 10 ya magolikipa 'Most expensive' katika historia...cheki hii Unaijua Top 10 ya magolikipa 'Most expensive' katika historia...cheki hii Reviewed by Steve on Wednesday, July 01, 2015 Rating: 5
Propellerads
Powered by Blogger.