Unaijua sababu ya Cech kuchagua namba 33 Arsenal!!...mwenyewe aeleza
Petr Cech ametangaza namba ya jezi yake atakayokuwa akitinga akiwa langoni kuitumikia Arsenal.
Bila ya
ubishi atakuwa mlinda mlango namba moja kuelekea msimu mpya wa ligi, hivyo basi Cech ameamua kuchagua namba 33 kama namba sahihi kwake akiwa klabuni hapo.
ubishi atakuwa mlinda mlango namba moja kuelekea msimu mpya wa ligi, hivyo basi Cech ameamua kuchagua namba 33 kama namba sahihi kwake akiwa klabuni hapo.
Cech ali-tweet kutoa sababu iliyomfanya achague kuvaa jezi yenye namba hiyo hiyo;
“Naanza ukurasa mpya nikiwa na umri wa miaka 33 nikiwa nimecheza michezo 333 ya ligi kuu Uingereza…ni chaguo rahisi tu hilo”.
Huku baadaye pia akiongeza: ”Natumaini nitakuwa uti wa mgongo wa timu: mgongo una pingili 33”.
Unaijua sababu ya Cech kuchagua namba 33 Arsenal!!...mwenyewe aeleza
Reviewed by Steve
on
Sunday, July 12, 2015
Rating:
Reviewed by Steve
on
Sunday, July 12, 2015
Rating: