Pesa walizotumia Chelsea na Arsenal katika usajili...ona hapa
Baada ya kocha wa Chelsea Jose Mourinho kumesema kwamba, kocha wa Arsenal
Arsene Wenger anahitaji kupewa kalukuleta linapokuja suala la kufananisha kati ya Arsenal na Chelsea.
Mwanzoni kabisa Wenger alisema “isingewezekana” kwa Arsenal kushinda taji la ligi kuu kwa miaka kadhaa iliyopita, kitu ambacho Mourinho amekipinga.
Mourinho aliiwezesha Chelsea kutwaa taji la EPL msimu wa 2014-15 na kuelekea msimu mpya wa ligi, anasema kwamba, kauli ya Wenger imejaa uongo mtupu.
Pesa walizotumia Chelsea na Arsenal katika usajili...ona hapa
Reviewed by Steve
on
Wednesday, July 29, 2015
Rating:
Reviewed by Steve
on
Wednesday, July 29, 2015
Rating:




No comments:
Post a Comment