Propellerads

Hatimae Bayern Munich wathibitisha uhamisho wa Schweinsteiger




Mtendaji mkuu wa klabu ya Bayern Munich,  Karl-Heinz Rummenigge amethibitisha kukubaliana dili
na Manchester United juu ya uhamisho wa nyota Bastian Schwensteiger.

Ripoti zimejitokeza tangu Ijumaa zikidai nyota huyo ameingia makubaliano ya miaka mitatu na Man United na atakua analipwa kiasi cha pauni 140,000 kwa wiki.

Nyota huyo mwenye miaka 30, ameitumikia Bayern kwa miaka 13, akifanikiwa kuiwezesha kuchukua mataji mbali mbali, ikiwemo makombe nane ya Bundesliga, makombe ya DFB-Pokal, na Champions league.
Hatimae Bayern Munich wathibitisha uhamisho wa Schweinsteiger Hatimae Bayern Munich wathibitisha uhamisho wa Schweinsteiger Reviewed by Steve on Saturday, July 11, 2015 Rating: 5
Propellerads
Powered by Blogger.