Propellerads

Yanga kuanza mazoezi mdogo mdogo leo.




Mabingwa wa Tanzania, Yanga, wameamua kuanza kazi mapema kujiandaa na msimu mpya.

kocha Mkuu wa Yanga, Hans van der Pluijm, tayari ametia tim jijini Dar es Salaam na leo asubuhi anaanza kazi na Yanga kwenye Uwanja wa Karume.

"Kweli mazoezi yataanza kesho (leo) pale Karume, lakini itakuwa taratibu sana kwa kuwa ni mwanza na wachezaji wetu wengi wako kwenye timu za taifa.

"Kocha ataanza mazoezi na waliopo, halafu tutakuwa tukiendelea taratibu wakati wanarejea," alisema Katibu Mkuu wa Yanga, Dk Jonas Tiboroha.
Yanga kuanza mazoezi mdogo mdogo leo. Yanga kuanza mazoezi mdogo mdogo leo. Reviewed by Steve on Tuesday, June 09, 2015 Rating: 5
Propellerads
Powered by Blogger.