Propellerads

Ngassa yupo Yanga kwa muda kujifua.



Mshambuliaji, Mrisho Ngassa leo amerejea katika timu yake ya zamani ya Yanga na kufanya mazoezi.



Ngassa amefanya mazoezi na Yanga kwenye Uwanja wa Karume ikiwa ni maandalizi kabla hajaondoka kwenda Afrika Kusini.
Kwa sasa Ngassa ni mchezaji wa Free State Stars ya Afrika Kusini.
Ngassa yupo Yanga kwa muda kujifua. Ngassa yupo Yanga kwa muda kujifua. Reviewed by Steve on Monday, June 22, 2015 Rating: 5
Propellerads
Powered by Blogger.