Propellerads

Man United nao wamtaka Sterling...cheki dau waliloweka



Raheem Sterling kwa upande wa wachezaji wa EPL ndio hot cake kwenye usajili. Habari zilipanda sana baada ya
kukataa mkataba wa Pound laki moja kila wiki kutoka kwa Liverpool.
Sterling mwenye miaka 20 amepata ofa nyingi kutoka kwa karibia timu zote kubwa Ulaya na hivi sasa Manchester wameingia kwenye mbio za kumpata Sterling. Dau walilotangaza Man united ni £25 million. Lakini hadi sasa Sterling hajatoa majibu yoyote kwa club yoyote.
Man United nao wamtaka Sterling...cheki dau waliloweka Man United nao wamtaka Sterling...cheki dau waliloweka Reviewed by Steve on Thursday, June 04, 2015 Rating: 5
Propellerads
Powered by Blogger.