Propellerads

Malimi Busungu kutupia jezi namba 16 Yanga.




Uongozi wa Yanga, umemkabidhi mshambuliaji wake mpya, Malimi Busungu jezi namba 16.

Busungu amekabidhiwa
jezi hiyo leo wakati akitambulishwa mbele ya waandishi wa habari.

Straika huyo amejiunga na Yanga akitokea Mgambo JKT ya Tanga.

Awali, Busungu alikuwa akiwaniwa na Simba, lakini mwisho Yanga ilifanikiwa kumnasa.

Busungu amesema anaamini Yanga ni sehemu sahihi na ana matumaini makubwa ya kufanya vizuri.
Malimi Busungu kutupia jezi namba 16 Yanga. Malimi Busungu kutupia jezi namba 16 Yanga. Reviewed by Steve on Monday, June 01, 2015 Rating: 5
Propellerads
Powered by Blogger.