Propellerads

Kuhusu De Gea, Van Gaal ashindwa kuongea.




Ripoti ya gazeti la AS inasema United wanataka dau la Euro milioni 46 kumuachia  golikipa huyo wa zamani wa Atletico Madrid, wakati Marca wao wanasema klabu hiyo ya England itakubali Euro milioni 40.
Akizungumza na Spanish TV, Van Gaal amesema: “Sitaki kuzungumzia ishu hii kupitia vyombo vya habari. Nitazungumza na wakurugenzi wangu, sio vyombo vya habari”.
Ripoti zinaeleza kwamba United wanajaribu kubadilishana na Sergio Ramos, lakini vyanzo vya habari vinasema Real Madrid hawako tayari kumhusisha mlinzi huyo wa kati.
Kuhusu De Gea, Van Gaal ashindwa kuongea. Kuhusu De Gea, Van Gaal ashindwa kuongea. Reviewed by Steve on Monday, June 29, 2015 Rating: 5
Propellerads
Powered by Blogger.