Kiatu cha Messi kuimaliza Juve walichotengeneza Adidas.....cheki hapa
Kampuni ya vifaa vya michezo ya Adidas imetemgeneza kiatu maalum atakachovaa nyota Lionel Messi wakati wa fainali ya Ligi ya
mabingwa Ulaya.
Messi atavaa kiatu hicho Juni 6 wakati Barcelona ikiivaa Juventus katika Uwanja wa Olympia jiijini Berlin, Ujerumani.
Viatu hivyo vyeusi vimetengenezwa kwa aina yake huku vikiwa na njumu zinazomsaidia kuongeza kasi.
Tayari Messi ameifungia Barcelona mabao 58 katika michuano yote na anapewa nafasi kubwa ya kuibeba timu yake usiku huo.
Kiatu cha Messi kuimaliza Juve walichotengeneza Adidas.....cheki hapa
Reviewed by Steve
on
Tuesday, June 02, 2015
Rating:
Reviewed by Steve
on
Tuesday, June 02, 2015
Rating:


