Propellerads

Eti Hazard ana thamani kuliko Ronaldo!!!......cheki hapa





Kwa mujibu wa data zilizochapishwa na  taasisi ya CIES Football Observatory, mshambuliaji wa  Barcelona,  Lionel Messi kwa sasa ndiye mchezaji mwenye thamani kubwa zaidi kwenye soko la uhamisho, akifuatiwa na nyota wa Chelsea, Eden Hazard, halafu straika wa Real Madrid, Cristiano Ronaldo anashika nafasi ya tatu.
Ili kupiga hesabu ya thamani ya uhamisho wa mchezaji yeyote,  wametumia sababu mbalimbali za kisoka.
Sababu hizo ni pamoja na Umri wa mchezaji, mkataba wake wa sasa, nafasi anayocheza uwanjani, jumlisha matokea na mafanikio ya klabu yake.
Hapo chini ni graphics zinazoonesha sababu za kupata thamani ya uhamisho wa mchezaji:




Eti Hazard ana thamani kuliko Ronaldo!!!......cheki hapa Eti Hazard ana thamani kuliko Ronaldo!!!......cheki hapa Reviewed by Steve on Tuesday, June 09, 2015 Rating: 5
Propellerads
Powered by Blogger.