Mesut Ozil anataka jezi hii kwa sasa
Mesut Ozil amefunguka kwamba anataka
jezi namba 10 Arsenal baada ya kua imeachwa na Jack Wilshere.
Mjerumani huyo ameitolea macho jezi hiyo baada Wilshere kuhama kwa mkopo kuelekea Bournemouth siku ya mwisho ya usajili.
Ozil kwa sasa anavaa namba 11 Emirates, lakini anaamini anahitaji namba hiyo ili aweze kuendana zaidi na nafasi yake.
"Hiyo namba ni sahihi kwangu na nafasi yangu kama mchezeshaji." aliongea kama alivyonukuliwa na Sport1.
Mesut Ozil anataka jezi hii kwa sasa
Reviewed by Steve
on
Saturday, September 03, 2016
Rating:
Reviewed by Steve
on
Saturday, September 03, 2016
Rating:




No comments:
Post a Comment