Jinsi Italy walivyolala mbele ya Ufaransa pamoja na matokeo mengine mechi za kimataifa
mabao 1-3 mbele ya wageni Ufaransa katika mechi ya kimataifa ya kirafiki iliyopigwa uwanja wa San Nicola Stadium.
Wageni waliongoza mara baada ya robo saa tu mchezo kuanza baada ya mkali wa Man United, Antonny Martial kutupia, hata hivyo dakika nne baadae Graziano Pelle aliwasawazishia wenyeji mpaka dakika ya 28, Olivier Giroud akaiongezea Ufaransa bao la pili.
Goli la mwisho la Ufaransa liliwekwa kambani na Layvin Kurzawa .
Hapa chini ni matokeo ya mechi nyingine za kimataifa za kirafiki zilizopigwa jana.
Belgium 0-2 Spain
Netherlands 1-2 Greece
Portugal 5-0 Gibraltar
Italy 1-3 France
Netherlands 1-2 Greece
Portugal 5-0 Gibraltar
Jinsi Italy walivyolala mbele ya Ufaransa pamoja na matokeo mengine mechi za kimataifa
Reviewed by Steve
on
Friday, September 02, 2016
Rating:



No comments:
Post a Comment