Wenger kumwachia Wilshere kwa mkopo
Imedaiwa kwamba bosi wa Arsenal, Arsene Wenger amemwambia
Jack Wilshere kwamba anaweza kuondoka kwa mkopo kabla ya kufungwa dirisha la usajili ili akatafute timu ambayo atayokua ana nafasi ya uhakika.
Mchezaji huyo wa England amekua akiandamwa na majeraha klabuni hapo kwa muda mrefu, hali inayomzuia kuonekana sana uwanjani.
Kwa mujibu wa Sky Sports News, Wenger yupo tayari Wilshere ajiunge na klabu nyingine katika mkopo wa muda mfupi ikiwezekana mpaka mwisho wa msimu huu.
Wenger kumwachia Wilshere kwa mkopo
Reviewed by Steve
on
Tuesday, August 30, 2016
Rating:
Reviewed by Steve
on
Tuesday, August 30, 2016
Rating:




No comments:
Post a Comment