Propellerads

Chelsea kutenga pauni mil 60 kw nyota wa Real Madrid!!?, hizi ni headlines kutoka magazeti ya Ulaya jumapili hii



-Arsene Wenger amedai kua anaweza kutumia pauni mi 300 katika usajili endapo
atapata mchezaji sahihi. Bosi huyo wa Gunners sasa anaonekana kua na presha kufanya usajili kabla ya dirisha kufunga baada ya kupata droo ya kutofungana na Leicester jana.
-Bosi wa Chelsea anamtaka nyota wa Juventus, Mario Mandzukic  baada ya kumkosa Romelu Lukaku.

          Soma:Yaliyojiri Serie A jana

- Sunderland inaungana na Arsenal na Liverpool kumfukuzia kinda wa Nottingham forest, Oliver Bulke.
-Tottenham wameikataa ofa ya pauni mil 10 kutoka Schalke kwa ajili ya kiungo Nabil Bentaleb.
-Leicester City wapo tayari kumsajili Aleksandar Dragovic baada ya kushindwa kumnasa Michael Keane kutoka Burnley.
-Liverpool wako katika mawindo ya kiungo wa Roma, Leandro Paredes.
-Chelsea wametanga kiasi cha pauni mil 60 kwa ajili ya nyota wa Real Madrid, James Rodriguez.
-Joe Hart ambaye anataka kuondoka Man City, amewatosa Sevilla na Borussia Dortmund huku akionekana kutaka kwenda Everton.
Chelsea kutenga pauni mil 60 kw nyota wa Real Madrid!!?, hizi ni headlines kutoka magazeti ya Ulaya jumapili hii Chelsea kutenga pauni mil 60 kw nyota wa Real Madrid!!?, hizi ni headlines kutoka magazeti ya Ulaya jumapili hii Reviewed by Steve on Sunday, August 21, 2016 Rating: 5

No comments:

Propellerads
Powered by Blogger.