Propellerads

Tweet ya Malinzi kwa waziri mkuu mpya


                                  


Baada ya Mh. Majaliwa Kassim Majaliwa kuteuliwa kuwa waziri mkuu wa
serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Rais wa TFF Bw. Jamal Malinzi aliandika ujumbe kwenye account ya Tweeter kumpongea Mh. Majaliwa kwa kuteuliwa kwake kushika wadhifa huo kwenye serikali ya awamu ya tano.
Account ya Tweeter ya Malinzi ilisomeke hivi; “Hongera Mh. Kasim Majaliwa. Mtu wa mpira sana. Mh. ana leseni B ya CUF ya ukocha. Kakochi Singida United FC”.

Tweet ya Malinzi kwa waziri mkuu mpya Tweet ya Malinzi kwa waziri mkuu mpya Reviewed by Steve on Thursday, November 19, 2015 Rating: 5

No comments:

Propellerads
Powered by Blogger.