Propellerads

Pamoja na matokeo mabovu, bado Mourinho anaongoza kwa hiki katika Premier League



                           
Chelsea wamekua na mwanzo usioridhisha katika Premier League
msimu huu, lakini kocha wake Jose Mourinho bado amebaki kua kinara kwa mameneja wanaolipwa zaidi katika ligi hiyo, kwa mujibu wa Telegraph.

Mourinho anapata kiasi kinachoripotiwa kufikia pauni mil 8 kwa msimu , ambayo huongezeka na kufikia pauni mil 13 ukijumlisha na mambo mengine kama mikataba mbali mbali na makampuni, kwa mujibu wa gazeti hilo.

Na hapa chini ni orodha ya makocha wa Premier League wanaolipwa zaidi (kwa mujibu wa gazeti la Telegraph)

10. Alan Pardew – £1.5m
9. Tim Sherwood – £2m
8. Mauricio Pochettino – £2m
7. Roberto Martinez – £3m
6. Slaven Bilic – £3m
5. Manuel Pellegrini – £4m
4. Jurgen Klopp – £7m
3. Louis van Gaal – £7.3m
2. Arsene Wenger – £8.3m
1. Jose Mourinho – £8.5m




Pamoja na matokeo mabovu, bado Mourinho anaongoza kwa hiki katika Premier League Pamoja na matokeo mabovu, bado Mourinho anaongoza kwa hiki katika Premier League Reviewed by Steve on Saturday, October 10, 2015 Rating: 5

No comments:

Propellerads
Powered by Blogger.