Propellerads

Unaijua klabu iliyotumia pesa ndefu kwenye usajili Ulaya msimu huu!!, jua hapa



Unaambiwa kipindi hiki cha usajili ndio kimevunja rekodi ya
kutumia pesa nyingi zaidi ukiacha miaka iliyopita. Ishu ni kwamba usajili mkubwa haumaanishi ndio ubingwa upo mezani, lakini kwa kiasi kikubwa inachangia.

Manchester city imefanya usajili wa nguvu sana na inaongoza kwenye hii list. Matunda ya usajili wao umeanza kuoneka mwanzo wa ligi na wamepata matokeo mazuri. Lakini ligi ya uingereza haiwezi kutabirika mapema tusubiri hadi hapo baadae.

Hii hapa ni list ya club za EPL kwa pesa walizozitumia kwenye usajili. Listi imepangwa kutokana na net spend ambayo ni tofauti kati ya pesa zilizotumiaka toa pesa zilizopokewa.


Unaijua klabu iliyotumia pesa ndefu kwenye usajili Ulaya msimu huu!!, jua hapa Unaijua klabu iliyotumia pesa ndefu kwenye usajili Ulaya msimu huu!!, jua hapa Reviewed by Steve on Wednesday, September 02, 2015 Rating: 5

No comments:

Propellerads
Powered by Blogger.