Majibu ya Wenger kuhusiana na usajili uliofanyika msimu huu
Mara baada ya kufungwa kwa kipindi cha usajili
television ya BeIN imefanya interview na Arsene Wneger na kuonyesha sehemu ya interview hiyo. Maswali ya msingi ambayo ameulizwa ni kuhusu kama ana furahia usajili aliofanya, kuhusu gharama iliyotumika kwa Anthony Martial na ishu ya financial fair play
Unazungumziaje kuhusu usajili wa Martial kutoka Monaco to Manchester united?
Manchester wamemsajili Anthony Martial kutoka Monaco jana kwa pesa nyingi sana. Martial ameshinda magoli 11 kwenye ligi ya Ufaransa. Kwa kawaida sio pesa zinakua hamna, sio uamuzi wa kufanya uwekezaji ndio hakuna. Ishu ni wachezaji wanaendana na hizo club zinazowanunua, itakua vile inavyotakiwa. Sio kila mchezaji anatakua hivyo.
Je una furaha na usajili wako?
Yes, kila wakati nina nunua wachezaji. Nilimnunua Sanchez na Ozil mwaka jana na mwaka huu nime mnunua Cech. Unavyotakiwa kupata uwekezaji unatafuta wachezaji ambao wanakupa uhakika wa timu bora baada ya usajili. Kwa mfano jana usiku Martial amesajiliwa na Manchester, ana kipaji kikubwa na bado mchanga sana. Lakini sio wachezaji wengi wanaosajiliwa wanaweza kufanya vizuri kwenye club zao mpya vile inavyotegemewa.
Manchester City na PSG wametumia pesa nyingi sana kwenye usajili…maoni yako ni yepi?
Nipo dissapointed kwasababu financil fair player haitakiwi ku-change muda wakati wa transfer. Sipo angainst Manchester city, lakini ukiniuliza mimi au nikikuuliza wewe ni nini umuhimu wa hii financil fair play siwezi kukupa jibu. Hii kitu ipo very complicated kuwa na umuhimu na hata kuielewa. pia
Majibu ya Wenger kuhusiana na usajili uliofanyika msimu huu
Reviewed by Steve
on
Wednesday, September 02, 2015
Rating:
Reviewed by Steve
on
Wednesday, September 02, 2015
Rating:




No comments:
Post a Comment