Propellerads

Man United na mpango wa kumrudisha Ronaldo kwa dau hili



Kwa mujibu wa ripoti, Man United wana mpango wa kumrudisha
Cristiano Ronaldo kwa dau la pauni mil 90.

Nyota huyo Mreno anaweza kuondoka Bernabeu majira ya joto huku tayari akihusishwa na Paris Saint-Germain.

Mwana habari mmoja wa kihispania, Guillem Balague amedai kua Ronaldo anaweza kupendelea zaidi United, huku The Mirror nao wakiibuka na kudai kua Man United wanajipanga kuipata saini yake mwezi januari.

United wamedaiwa zaidi kua huenda wakampa Ronaldo mkataba wenye thamani ya pauni mil 15 kwa mwaka.
Man United na mpango wa kumrudisha Ronaldo kwa dau hili Man United na mpango wa kumrudisha Ronaldo kwa dau hili Reviewed by Steve on Tuesday, September 22, 2015 Rating: 5

No comments:

Propellerads
Powered by Blogger.