Propellerads

Kitu kingine ambacho Ronaldo yuko juu ya nyota wengine




Amezoeleka kua katika nafasi ya juu kwenye chati nyingi, huyu ni nyota
wa Real Madrid, Cristiano Ronaldo ambapo safari hii ameongoza kwa kitu cha kibinadamu zaidi, kutoa misaada kwa wenye mahitaji.

Nyota huyo Mreno amepata kchangisha fedha kwa ajili ya mifuko mbali mbali, ikiwemo ule wa kuchangia zaidi ya  $83,000 kwa ajili ya upasuaji wa ubongo kwa shabiki mmoja wa soka, pia ni msemaji wa organisation mbali mbali ambazo zinajishughulisha na kukabiliana na maswala kama njaa, utapaimlo kwa watoto, lishe na vingine vingi.

Anaefatia katika nafasi ya pili ni nyota wa WWE John Cena ambaye anajihusisha na mfuko unajulikana kama 'Make-A-Wish Foundation' huku namba tatu ikishikiliwa na balozi wa kujitolea wa UNICEF, nyota wa tenisi,Selena Williams.

Nyota mwingine pekee wa soka aliyeingia katika orodha hhi ni Neymara ambaye yuko katika nafasi ya tano, cheki orodha kamili

The 2015 “Top 20 Athletes Gone Good”:

1. Cristiano Ronaldo

2. John Cena

3. Serena Williams

4. Yuna Kim

5. Neymar

6. LeBron James

7. Heather O’Reilly

8. Maria Sharapova

9. Mo’ne Davis

10. Richard Sherman
Kitu kingine ambacho Ronaldo yuko juu ya nyota wengine Kitu kingine ambacho Ronaldo yuko juu ya nyota wengine Reviewed by Steve on Tuesday, August 18, 2015 Rating: 5

No comments:

Propellerads
Powered by Blogger.