Propellerads

Chile mabingwa wapya Copa America, cheki picha.

Penati ya Alexis Sanchez imewapa Chile ubingwa wa Copa America kwa mara ya kwanza kwenye mchezo wa
fainali kali na ya kusisimua iliyopigwa usiku wa Jumamosi kati ya wenyeji Chile dhidi ya Argentina na Chile kunyakuwa kombe hilo kwa penati 4-1.
Cheki picha











Chile mabingwa wapya Copa America, cheki picha. Chile mabingwa wapya Copa America, cheki picha. Reviewed by Steve on Sunday, July 05, 2015 Rating: 5
Propellerads
Powered by Blogger.