Propellerads

Wafuatao hawatakua Simba msimu ujao

Msimu umeisha wachezaji mbalimbali kutoka kwenye timu tofauti duniani wanahama kutoka kwenye timu moja hadi nyingine. Huko Ulaya mambo ni yamoto kwa upande wa kijana Pogba na hapa bongo hii ndio habari mpya.
Hawa ni wachezaji wawili
wa Simba ambao wametoa taarifa kwenye page zao za social mediak kwamba hawatakuwa tena na Simba msimu ujao.



Wafuatao hawatakua Simba msimu ujao Wafuatao hawatakua Simba msimu ujao Reviewed by Steve on Tuesday, May 12, 2015 Rating: 5

No comments:

Propellerads
Powered by Blogger.