Uchambuzi mechi ya Chelsea & Liverpool
Jumapili tumeshuhudia mtanange pale Darajani kwa Chelsea akimenyana na Liverpool, huu ni uchambuzi kidogo nimekuletea mtu wangu na wewe upate picha halisi ya game hiyo
Steven Gerrard ndiye aliyebadilisha matokeo na kua 1-1 mpaka mwisho pale Stamford Bridge jumapili jioni.
The Blues ndio walioanza kupenya kwa wenzao pale John Terry alipounganisha kwa kichwa mpira wa kona iliyopigwa na Cesc Fabregas
Liverpool walianza kuuelewa mchezo kuanzia dakika ya 13, pale Glen Johnson alipomuwezea Branislav Ivanovic, kwani kabla alionekana kuzidiwa.
Simon Mignolet aliwaokoa Liverpool dakika ya 28 pale alipounyaka mkwaju wa Cesc Fabregas ambaye kwenye hii game alicheza kwa kiwango cha juu ukilinganisha na bbadhi ya mechi.
Wenyeji Chelse nusura waongeze jingine kipindi cha pili pale Willian alipoleta kizaa zaa eneo la hatari.
Makocha wote waliona ni vyema kufanya mabadiliko, ambapo kocha wa liverpool alimuingiza Jerome Sinclair, huku kwa upande wa Mourinho akamuingiza Nemanja Matic.
Nafasi za mabao pande zote zilizida kua ngumu langoni lakini Liverpool walipenya kiasi tukishuhudia kujaribu kwa Coutinho na Jordan Henderson.
Hata hivyo, mpaka kipenga cha mwamuzi hamna aliyefanikiwa kuchukua point tatu zote, hivyo wakaishia kuzigawana.
Kwa matokeo hayo ya sare Liverpool wanaangukia point sita nyuma ya Manchester United walio nafasi ya nne, Man U ana michezo miwili mkononi,pia Man U wana faida ya tofauti ya magoli.

Reviewed by Steve
on
Monday, May 11, 2015
Rating:
Reviewed by Steve
on
Monday, May 11, 2015
Rating:

No comments:
Post a Comment