Propellerads

Mlinda mlango maarufu afumaniwa mke wa beki wake

Mlinda mlango mkongwe Aldina Hashimu ambaye amechezea AFC Arusha,Mtibwa,Mount Meru Warriors na Nyota ya Arusha akipata kibano baada ya kufumaniwa akila vyombo vya mke wa aliyewahi kuwa beki wa kulia Emmanuel Mwambinje huko
Guest Kasoli makao mapya
Aibu hii ya kumla mke wa mchezaji mwenzake na beki wa kulia imemletelezea kula kichapo cha haja na kupata manundu mwilini.

                              



Mlinda mlango maarufu afumaniwa mke wa beki wake  Mlinda mlango maarufu afumaniwa mke wa beki wake Reviewed by Steve on Thursday, May 14, 2015 Rating: 5

No comments:

Propellerads
Powered by Blogger.