Propellerads

Madrid hali mbaya,Barcelona yabakiza 3

Timu ya Real Madrid iligonga mwamba wa goli mara tatu huku nyota wake Christiano Ronaldo akikosa penalti na hivyobasi kupata sare ya 2-2 na timu ya Valencia hatua iliodidimiza matumaini yao kubeba taji la ligi hiyo.

                                                    


Mkwaju wa penalti uliopigwa na
Ronaldo uliokolewa kabla ya Pepe kufunga bao la kwanza na Isco kuongeza bao la kusawazisha.Real Madrid pia ilipata pigo jingine baada ya kumpoteza Tony Kroos na jeraha katikati ya kipindi cha kwanza.
Kwa matokeo hayo ya jana Barcelona inahitaji pointi 3 tu ili kujihakikishia Ubingwa wa Ligi kuu nchini Spain.
Madrid pia inaweza kumkosa kiungo wao tegemeo Tony Kroos kwenye Mechi ya Klabu bingwa Ulaya dhidi ya Juventus.Tony Kroos alipata majeraha kwenye mchezo huo wa jana dhidi ya Valencia.
Madrid hali mbaya,Barcelona yabakiza 3 Madrid hali mbaya,Barcelona yabakiza 3 Reviewed by Steve on Monday, May 11, 2015 Rating: 5

No comments:

Propellerads
Powered by Blogger.