Propellerads

Manchester United warudi Klabu bingwa ulaya.

Timu ya mancheser united imerejea tena kwenye michuano ya Klabu Bingwa ulaya baada ya Timu za Liverpool na Chelsea kutoka sare ya bao 1-1 katika mchezo wa ligi kuu ya uingereza uliopigwa jioni ya leo kwenye Dimba la Stamford Bridge.


                                                         


Mabao ya timu hizo yalifungwa na manahodha John Terry wa Chelsea na Steven Gerald wa Liverpool.
Kwa matokeo hayo Liverpool imefikisha pointi 62 pointi 6 nyuma ya United huku United wakiwa na tofauti kubwa ya magoli ukilinganisha na Liverpool.
Manchester United warudi Klabu bingwa ulaya. Manchester United warudi Klabu bingwa ulaya. Reviewed by Steve on Monday, May 11, 2015 Rating: 5

No comments:

Propellerads
Powered by Blogger.