Kikosi bora 2014/15 EPL kilichopangwa na Callagher, Neville, wewe kwao unakionaje!!
WACHAMBUZI wawili wa soka katika Televisheni ya Sky Sports, Gary Neville na Jamie Carragher wamechagua timu zao bora za msimu wa
ligi kuu England (2014/2015), huku nyota wa zamani wa Manchester United, Neville akichagua wacheza 8 kutoka Chelsea kwenye kikosi chake wa wachezaji 11.
ligi kuu England (2014/2015), huku nyota wa zamani wa Manchester United, Neville akichagua wacheza 8 kutoka Chelsea kwenye kikosi chake wa wachezaji 11.
![]() |
| Neville |
Carragher amechagua wachezaji sita (6) kutoka kikosi cha ubingwa cha Jose Mourinho, wakati kiungo wa Liverpool, Philipe Coutinho hajatokea kwenye kikosi cha yeyote.
Katika kipindi cha ‘The Monday Night Football’ wawili hao wamekubaliana katika wacheza 9 kati ya 11 ambao kila mmoja amependekeza, lakini wametofautiana kwa beki mmoja na mshambuliaji mmoja pia.
Kikosi bora 2014/15 EPL kilichopangwa na Callagher, Neville, wewe kwao unakionaje!!
Reviewed by Steve
on
Tuesday, May 19, 2015
Rating:
Reviewed by Steve
on
Tuesday, May 19, 2015
Rating: