Manchester United imeshinda kwa mabao 3-1 katika mechi yake ya kirafiki dhidi ya
San Jose Earthquakes ya nchini Marekani.
Kiungo wake mpya, Memphis Depay amekuwa kati ya waliofunga mabao huku Wahispania Juan Mata na Herreira kila mmoja akitupia bao. Hapa nimekuwekea baadhi ya picha katika hiyo game
Taswira katika picha jinsi Man United ilivyoiua San Jose Earthquakes
Reviewed by Steve
on
Wednesday, July 22, 2015
Rating: 5
No comments:
Post a Comment