Propellerads

Kiasi gani Neymar hugharamia nywele zake?

Ni ukweli usiopingika kua msambuliaji huyu wa Barca ni  Bishoo hii ni kutokana na mtindo wake wa nywele ambao hata ivyo
unampendezea na zaidi vijana wengine wamemuiga, Je unajua ni kiasi gani ana tumia kugharamia nywele zake??
                                   
Neymar

Kwa mujibu wa jarida la Sports joe , Neymar hutumia si chini ya Euro 2,000 kwa mwezi kwa ajili tu ya nywele zake- Ni kama kiasi cha Mil. 4 za kibongo!!
Hata ivyo kwa Neymar hiyo pesa ni kama tone baharini kwani anaingiza Pesa za madafu sh Bil 67 na ushee kwa mwaka.
Kiasi gani Neymar hugharamia nywele zake? Kiasi gani Neymar hugharamia nywele zake? Reviewed by Steve on Saturday, May 09, 2015 Rating: 5

No comments:

Propellerads
Powered by Blogger.