Propellerads

Bayern wanamfukuzia Di maria?

Bayern Munich wa ujerumani wameripotiwa kumfukuzia Di Maria.
Muarjentina huyo aliyejiunga na mashetani wekundu kwa dau la Pauni 59.7 mil hata ivyo ameshindwa
kufikia matarajio ya wengi pale Old trafford

Di maria



Bayern wanataka kutoa ofa ya pauni mil 30 kwa mashetani hao wa Manchester, Je watafanikiwa?? Yetu macho.
Bayern wanamfukuzia Di maria? Bayern wanamfukuzia Di maria? Reviewed by Steve on Saturday, May 09, 2015 Rating: 5

No comments:

Propellerads
Powered by Blogger.