Ulimsikia Kaka kuhusu wacheaji anao wakubali EPL!!
Mchezaji huyo aliyejiunga MLS franchise Orlando akitokea Ac Milan mwaka jana amefunguka alipofanya mahojiano na gazeti la Sky sports wachezaji watano anaowakubali zaidi EPL ambao karibia wote
ni wabrazili,
"Napenda kumwangalia Oscar ,Willian, Felipe Luis na Phillipe Coutinho" Alisema Kaka
Pia aliendelea "Tunaangalia mechi kubwa na kupendelea wao zaidi"
Mchezaji pekee ambae si mbrazili ambae Kaka anamkubali ni mu-Arsenali Mesut Ozil ambae waliwahi kucheza wote Real Madrid
"Ni mchezaji mzuri"
"Yuko smart, muelewa , ulikua wakati mzuri tukicheza,tulielewana' Alimaliza Kaka.
ni wabrazili,
![]() |
| Kaka |

| Ozil |
"Ni mchezaji mzuri"
"Yuko smart, muelewa , ulikua wakati mzuri tukicheza,tulielewana' Alimaliza Kaka.
Ulimsikia Kaka kuhusu wacheaji anao wakubali EPL!!
Reviewed by Steve
on
Saturday, May 09, 2015
Rating:
Reviewed by Steve
on
Saturday, May 09, 2015
Rating:

No comments:
Post a Comment